• HABARI MPYA

  Saturday, May 14, 2016

  WILLIAN MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA CHELSEA

  Nyota wa Brazil, Willian akiwa na tuzo zake za Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chelsea na Mchezaji Bora Chagup la Wachezaji wa Mwaka wa klabu hiyo baada ya kushinda usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mbali na Willian kushinda tuzo hizo, Eden Hazard ameshinda tuzo ya Bao Bora la Mwaka, Ruben Loftus-Cheek ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka, Fikayo Tomori ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa akademi na Katie Chapman ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Mwaka PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILLIAN MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top