Nyota wa West Ham United, Winston Reid (katikati) akiruka juu Uwanja wa Upton Park kushangilia bao la ushindi wa 3-2 aliloifungia timu yake dakika ya 80 jana dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Katika mchezo huo uliokwenda sambamba na sherehe za kuuga Uwanja wa Upton Park kwa kuhamia Uwanja wa Olimpiki msimu ujao, mabao mengine ya West Ham yalifungwa na Diafra Sakho dakika ya 10 na Antonio dakika ya 76 wakati ya Mashetani Wekundu yalifungwa na Anthony Martial dakika za 51 na 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Oil plummets as Trump says US held 'productive talks' with Iran
-
Oil whipsawed on Monday as President Trump said he was holding off striking
Iran's power infrastructure.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment