• HABARI MPYA

    Sunday, May 15, 2016

    IBRAHIMOVIC AIPA TENA UBINGWA WA UFARANSA PSG

    Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiinua taji la Ligue 1 na wachezaji wenzake wa Paris Saint-Germain Uwanja wa Parc des Princes baada ya kuisaidia timu yake hiyo kutwaa tena ubingwa wa Ufaransa, kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Nantes, yeye akifunga mabao mawili. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Lucas Moura na Marquinhos PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IBRAHIMOVIC AIPA TENA UBINGWA WA UFARANSA PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top