• HABARI MPYA

    Saturday, May 07, 2016

    DEFOE AWAPIGIA LA USHINDI SUNDERLAND WAIPIGA 3-2 CHELSEA

    Mshambuliaji wa Sunderland, Jermain Defoe akiwa amevua jezi kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Chelsea jioni ya leo Uwanja wa Light. Mabao mengine ya Sundeland yamefungwa na Wahbi Khazri na Fabio Borini, wakati ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa na Nemanja Matic PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEFOE AWAPIGIA LA USHINDI SUNDERLAND WAIPIGA 3-2 CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top