• HABARI MPYA

  Sunday, June 04, 2023

  DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA


  KIPA wa Yanga Djigui Diarra akiwa na Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Mechi ya marudiano ya Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger usiku wa jana Uwanja wa Julai 5, 1962 Jijini Algiers nchini Algeria.
  Diarra aliokoa mkwaju wa penalti wa Zinéddine Belaïd dakika ya 59, Yanga ikishinda 1-0, lakini USM Alger wamekuwa mabingwa kwa faida ya mabao ya ugenini baada ya sare ya jumla ya 2-2 kufuatia ushindi wao wa 2-1 Dar es Salaam Jumapili iliyopita.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIARRA MCHEZAJI BORA WA FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top