• HABARI MPYA

  Friday, June 02, 2023

  AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI


  KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula baada ya kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja nchini Afrika Kusini leo tayari kurejea nyumbani kwa mapumziko.
  Aishi aliumia kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Aprili 7, mwaka huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AISHI MANULA BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI LEO AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top