• HABARI MPYA

  Thursday, March 09, 2023

  MCHEZAJI WA PRISONS AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA RAFU  MCHEZAJI wa Tanzania Prisons, Michael Masinda amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa la kumchezea rafu ya makusudi Gerson Gwalala wa Coastal Union.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI WA PRISONS AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA RAFU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top