• HABARI MPYA

  Wednesday, August 09, 2017

  SIMBA NA RAYON KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Kiungo mpya wa Simba, Haruna Niyonzima (kulia) akimzunguka beki wa Rayon Sport ya Rwanda, Jean D'Amour Nzayisenga katika mchezo wa kirafiki kwenye taamasha la Simba Day jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
  Beki wa Rayon Sport akimzuia kwa mikono winga wa Simba, Shiza Kichuya katika mchezo wa kirafiki jana
  Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi akimpita mchezaji wa Rayon jana
  Beki mpya kutoka Azam, Erasto Nyoni akipiga hesabu za kumpita beki wa Rayon 
  Nahodha wa Simba, beki wa kati Method Mwanjali akiondosha mpira kwenye eneo la hatari la timu yake
  Kipa wa Rayon Sport, Everiste Mutuyimana akinyoosha mkono kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa Simba, John Bocco jana 
  HarunaNiyonzima akipasua katikati ya wachezaji wa Rayon jana
  Kocha wa Simba, Mcameroon Joseph Omog na wasaidizi wake, Mganda Jackson Mayanja na mzalendo, Muharami Mohammed 'Shilton'
  Kikosi cha Rayon jana Uwanja wa Taifa 
  Kikosi cha Simba jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA RAYON KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top