Raheem Sterling akiifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 96 wakiwalaza 2-1 wenyeji, AFC Bournemouth Uwanja wa Vitality katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano. Bournemouth walitangulia kwa bao la Charlie Daniels dakika ya 13 kabla ya mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus kuisawazishia City dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Michael Chandler out to prove he's not past-prime at UFC Freedom 250
-
Michael Chandler still feels he's in his prime, and he's out to prove that
against Mauricio Ruffy at UFC Freedom 250.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment