• HABARI MPYA

  Tuesday, August 22, 2017

  MAN CITY CHUPUCHUPU KUPIGWA NA EVERTON PALE PALE ETIHAD

  Wayne Rooney akiwa ameshika masikio yake wakati wa kushangilia bao la kuongoza aliloifungia Manchester City dakika ya 35 jana katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad, kabla ya Raheem Sterling kuwasawazishia wenyeji dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY CHUPUCHUPU KUPIGWA NA EVERTON PALE PALE ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top