Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 33 ikiilaza 2-1 Fiorentina ya Italia jana Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa kuwania Kombe la Santiago Bernabeu. Bao la kwanza la Real lilifungwa na Borja Mayoral aliyemalizia krosi ya Ronaldo dakika ya saba wakati la Fiorentina lilifungwa na Jordan Veretout dakika ya nne. Ikumbukwe Ronaldo yupo kwenye kifungo cha mechi tano za mashindano baada ya kumsukuma refa kwenye mechi ya Super Cup ya Hispania dhidi ya Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment