• HABARI MPYA

  Saturday, August 26, 2017

  MAN UNITED YAENDELEZA UBABE, YAILIMA 2-0 LEICESTER

  Mshambuliaji chipukizi wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 akimalizia krosi ya Henrikh Mkhitaryan katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leicester City Uwanja wa Old Trafford. Bao la pili la United limefungwa na Marouane Fellaini dakika ya 82 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAENDELEZA UBABE, YAILIMA 2-0 LEICESTER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top