• HABARI MPYA

  Monday, August 21, 2017

  RAMOS APIGA MTU, REAL MADRID YAICHAPA DEPORTIVO 3-0

  Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akimpiga Fabian Schar wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Riazor mjini La Coruna usiku wa Jumapili, lakini wachezaji wote wakawa na bahati ya kutoonyeshwa kadi yoyote licha ya kugombana kipindi cha pili. Real iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo anayetumikia adhabu ilishinda 3-0 mabao ya Gareth Bale dakika ya 20, Casemiro dakika ya 27 na Toni Kroos dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAMOS APIGA MTU, REAL MADRID YAICHAPA DEPORTIVO 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top