// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, August 23, 2017

  SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO

  Nahodha wa Simba, Method Mwanjali akiinua Ngao ya Jamii leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare yaa 0-0 ndani ya dakika 90 dhidi ya mahasimu, Yanga
  Wachezaji wa Simba na viongozi wao wakifurahia baada ya mechi
  Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura akimvalisha Medali kiungo Muzamil Yassin   
  Wachezaji wa Simba wakiwa watulivu wakati wa kupigwa penalti
  Kipa Aishi Manula akimpongeza kiungo Mohammed 'Mo' Ibrahim baada ya kufunga penalti ya mwisho
  Kocha Mcameroon, Joseph Omog akisikitika baada ya beki wake, Mohammed Hussein 'Tshabalala' kukosa penalti
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA NGAO YA JAMII SIMBA TAIFA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top