// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Thursday, August 24, 2017

  SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi akimlamba chenga mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi katika mchezo wa Ngao ya Jamii jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa penalti 5-4 baada ya sare ya 0-0
  Papy Kabamba Tshishimbi akiwa juu kabisa kuwania mpira 
  Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) na Kevin Yondan (kushoto)
  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Simba, Method Mwanjali
  Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib akiwafunga tela mabeki wa Simba, Method Mwanjali na Ally Shomary 
  Kiungo wa Yanga, Mzimbabwe Thabani Kamusoko (kulia) akipambana na kiungo wa Simba, Mnyarwanda Haruna Niyonzima
  Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib akifumua shuti jana
  Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akiwania mpira wa juu jana
  Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
  Kikosi cha Simba kilichoanza jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top