• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 27, 2017

  MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA MAJI MAJI IKIPIGWA 3-0 NA AL AHLY DAR

  Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Rashid Mfaume Kawawa (sasa marehemu) akipeana mkono na Nahodha wa Maji Maji ya Songea, Omar Kapilima (kulia) kabla ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika (sasa Ligi ya Mabingwa) dhidi ya Al Ahly ya Misri Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam mapema mwaka 1999. Maji Maji ilifungwa 3-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA MAJI MAJI IKIPIGWA 3-0 NA AL AHLY DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top