// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIKAO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO UWANJA WA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIKAO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO UWANJA WA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Wednesday, August 23, 2017

  KIKAO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO UWANJA WA TAIFA

  Aliyekuwa mgombea Urais katika uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ally Mayay akitoa shukrani zake kwa wachezaji wenzake wa zamani nchini katika kikao kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Mchezaji wa zamani wa Tukuyu Stars, Simba na Yanga, Suleiman Mathew (kushoto) akiwa na kiungo wa zamani wa Yanga, Thabit Badru Bushako 
  Kutoka kushoto Ngade Chabanga, Abubakar Mtiro na Juma Pinto
  Wachezaji wa zamani wa Simba, Spear Mbwembwe (kulia) na George Masatu (kushoto)
  Wachezaji wa zamani wa Simba, Mashaka Ayoub (kushoto) na Said Maulid 'SMG' (kulia) aliyecheza na Yanga pia
  Wachezaji wa zamani wa Yanga, Manyika Peter (kushoto) na Shaaban Ramadhan aliyecheza na Simba pia 
  Kiongozi Mkuu wa umoja huo unaojulikana na kama Galactico, Muddy Sebene (kushoto) akiwa na kiungo wa zamani wa Yanga, Mohammed 'Rishard' Adolph 
  Wachezaji wa zamani wa Simba, Madaraka Selemani (kulia), Duwa Said (kushoto) na George Lucas 'Gazza' nyuma yao
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKAO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top