// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, August 27, 2017

  KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI

  Mbunge wa Newala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika (kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya timu yake anayoipenda, Yanga SC dhidi ya Lipuli FC ya Iringa leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa
  Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa leo ambao ulimalizika kwa sare ya 1-1
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top