• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 26, 2017

  MAYWEATHER NA MCGREGOR WAKUTWA NA UZITO SAWA

  Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wakitambiana baada ya kupimwa uzito jana ukumbi wa  T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani na wote kukutwa na kilogramu 69.8 kuelekea pambano lao la uzito wa Super-Welter usiku wa leo ukumbi wa MGM Grand Arena, ambalo kwa Afrika Mashariki tutalishuhudia asubuhi ya Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAYWEATHER NA MCGREGOR WAKUTWA NA UZITO SAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top