• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 28, 2017

  DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI

  Ousmane Dembele akifanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona, Hispania jana baada ya kuwasili kujiunga na timu yake hiyo mpya kufuatia kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 96 kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Ousmane Dembele akiwa ameketi mbele ya beji ya Barcelona Uwanja wa Nou Camp PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top