• HABARI MPYA

    Wednesday, August 23, 2017

    MATOEKO YA MECHI ZOTE NA LIGI KUU SIMBA NA YANGA:

    Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
    JUMLA ya mechi 98  za Ligi Kuu na Ligi ya iliyokuwa Ligi Kuu ya Muungano zimekwishazikutanisha Simba na Yanga tangu mchezo wa kwanza Juni 7, mwaka 1975.
    Na katika mechi hizo, Yanga ndiyo iliyoshinda mara nyingi zaidi, mara 36 dhidi ya mara 26 za Simba, huku mechi nyingine 33 timu hizo zikitoka sare.  

    Kipa wa Simba, Daniel Panju akiwa amelala chini baada ya Edibily Lunyamila (hayupo pichani) kuifungia Yanga bao la kwanza dakika ya 47 katika ushindi wa 2-1 Februari 17, mwaka 2011 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa GONGA HAPA KUSOMA ZAIDI
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MATOEKO YA MECHI ZOTE NA LIGI KUU SIMBA NA YANGA: Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top