• HABARI MPYA

  Friday, August 25, 2017

  EVERTON FC YASONGA MBELE EUROPA LAGUE 2017

  Gylfi Sigurdsson akishangilia na Aaron Lennon baada ya kuifungia bao zuri la kusawazisha Everton dakika ya 46 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Hajduk Split Uwanja wa Poljud jana mjini Split nchini Croatia. Bao la Hajduk Split lilifungwa na Josip Radosevic dakika ya 43 na kwa matokeo hayo, Everton inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON FC YASONGA MBELE EUROPA LAGUE 2017 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top