Lucas Vazquez wa Real Madrid akivuta mpira dhidi ya wachezaji wa Valencia katika mchezo wa La Liga jana Uwanja Bernabeu timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Mabao ya Real Madrid yalifungwa na Marco Asensio dakika ya 10 na 83, wakati ya Valencia yamefungwa na Carlos Salor dakika ya 18 na Geoffrey Kondogbia dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment