Winga wa Yanga, Abubakar Salum ‘Sure Boy’ akimtoka beki wa Simba, Iddi Selemani ‘Meya’ katika mechi ya watani wa jadi Agosti 15, 1987 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0 bao pekee la Abeid Mziba dakika ya 14 aliyemalizia krosi ya Sure Boy.
0 comments:
Post a Comment