• HABARI MPYA

  Thursday, August 31, 2017

  LIVERPOOL YAIPA PIGO LINGINE ARSENAL, YAMBEBA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN

  Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akitabasamu na jezi ya klabu yake mpya, Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka kwa wapinzani wa Ligi Kuu ya England, Arsenal. Nyota huyo wa England sasa atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 120,000 kwa wiki na kwa usajili huu Liverpool inaipa pigo lingine baada ya wiki iliyopita kuichapa 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIPA PIGO LINGINE ARSENAL, YAMBEBA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top