• HABARI MPYA

  Monday, August 28, 2017

  YANGA NA LIPULI KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Beki wa Lipuli, Mghana Asante Kwasi akienda juu kupiga mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 1-1
  Kiungo Mzimbabwe wa Yanga, Thabani Kamusoko akiwachambua wachezaji wa Lipuli
  Beki wa Yanga, Andrew Vincent 'Dante' akiwa juu kupiga mpira dhidi ya kipa wa Lipuli, Agathon Mkwando
  Kiungo wa Lipuli, Paul Ngalema akiwatoka wachezaji wa Yanga jana
  Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiambaa na mpira
  Andrew Vincent 'Dante' akienda juu kupiga mpira kichwa
  Refa Hans Mabena wa Tanga akimtoa kwa kadi nyekundu beki Mghana, Asante Kwasi baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano
  Mashabiki wa Yanga wakiwa hawana furana katika mchezo huo 
  Kikosi cha Lipuli kilichoizuia Yanga jana Uhuru
  Kikosi cha Yanga kilicholazimishwa sare nyumbani jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA LIPULI KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top