• HABARI MPYA

  Thursday, August 24, 2017

  KUELEKEA PAMBANO LA MAYWEATHER NA MCGREGOR...

  Wapiganaji Conor McGregor wa Ireland (kulia) na Mmarekani Floyd Mayweather (kushoto) wakitambiana jana ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Marekani katika promosheni ya mwisho ya pambano lao la raundi 12 Jumamosi usiku ambalo kwa Afrika Mashariki tutaliona asubuhi ya Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUELEKEA PAMBANO LA MAYWEATHER NA MCGREGOR... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top