• HABARI MPYA

  Thursday, August 31, 2017

  NDEMLA NA HAJIB HUWEZI KUWATENGANISHA SABABU YA TIMU

  Mshambuliaji Ibrahim Hajib (kulia) ameposti picha hii akiwa na kiungo Said Ndemla aliyekuwa naye Simba kabla ya kuhamia Yanga msimu huu. Wawili ni marafiki wa muda mrefu tangu wanacheza timu za watoto 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NDEMLA NA HAJIB HUWEZI KUWATENGANISHA SABABU YA TIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top