Waliokuwa wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, Ally Ng’anzi (kushoto), Yohana Oscar Nkomola (kulia) na Erick Nkosi (katikati) katika fainali za U-17 Afrika nchini Gabon Mei mwaka huu, wakiwa kwenye Uwanja wa mazoezi wa akademi ya Etoile du Sahel mjini Sousse nchini Tunisia ambako wanaendelea na majaribio kwa kujiunga na timu ya vijana ya klabu hiyo
Asante Kotoko sign Cameroonian goalkeeper Pouaty Moise D'assise
-
Asante Kotoko has added a new goalkeeper, Pouaty Moise D'assise, to their
squad ahead of the new season.The Cameroonian was announced as a new Kotoko
playe...
Dakika 8 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni