• HABARI MPYA

  Saturday, August 26, 2017

  MESSI AFUNGA ZOTE MBILI, BARCA YAUA 2-0 LA LIGA

  Mshambuliaji Lionel Messi akifumua shuti kwa guu la kushoto kumfunga kipa wa Alaves, Fernando Pacheco kuipatia Barcelona bao la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz leo, bao la pili akifunga Muargentina huyo dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA ZOTE MBILI, BARCA YAUA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top