• HABARI MPYA

  Sunday, August 13, 2017

  ROONEY AIPA USHINDI EVERTON, YAILAZA 1-0 STOKE CITY

  Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga bao pekee katika mchezo wa kwake wa Ligi Kuu ya England kufuatai kurejea Uwanja wa Goodison Park, timu yake Everton ikishinda 1-0 nyumbani dhidi ya Stoke City jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ROONEY AIPA USHINDI EVERTON, YAILAZA 1-0 STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top