Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester City dakika ya 70 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Brighton Uwanja wa Amex usiku wa jana. Bao la pili lilifungwa na Lewis Dunk aliyejifunga dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment