Mshambuliaji mpya, Mohamed Salam aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 39 kutoka Roma akiifungia Liverpool bao lililoelekea kuwa la ushindi dakika ya 57 Uwanja wa Vicarage Road timu hiyo ikitoka sare ya 3-3 na wenyeji, Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 29 na Roberto Firmino kwa penalti dakika ya 55, wakati ya Watford yamefungwa na Stefano Okaka dakika ya nane, Abdoulaye Doucoure dakika ya 32 na Miguel Britos dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment