Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao yote matatu dakika za 10, 73 na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Atletico Madrid usiku wa Jumanne Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hiyo inakuwa hat trick ya has 42 kwa Ronaldo Real Madrid na ya 47 kwa ujumla, wakati timu hizo zitarudiana Mei 10 Uwanja wa Vicente Calderon, Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment