Mshambuliaji Muivory Coast wa Simba, Frederick Blagnon (kulia) akiwa ametulia na binti ambaye hakuweza kufahamika mara moja wakati mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Kagera Sugar ukiendelea Uwanja wa Kaitaba, Bukoba leo. Simba imefungwa 2-1
Mchezaji huyo ghali zaidi katika kikosi cha Simba alikuwa ametulia na kimwana huyo wakiangalia mchezo kwa raha zao
Blagnon aliingia akiwa ameongozana na wachezaji wenzake hawa pamoja na mrembo huyu


0 comments:
Post a Comment