Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji Granada kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Nuevo Los Carmenes, Granada usiku wa Jumapili. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Paco Alcacer dakika ya 64, Matthieu Saunier aliyejifunga dakika ya 83 na Neymar dakika ya 90 na ushei wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Jeremie Boga dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment