Jana ulikuwa ni usiku wa kukumbukwa kwa mchezaji wa zamani wa Arsenal, Serge Gnabry baada ya kufunga hat-trick katika ushindi wa 8-0 ugenini wa Ujerumani dhidi ya San Marino Uwanja wa Olimpico di Serravalle mjini Serravalle. Mabao mengine ya Ujerumani kwenye mchezo huo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia yalifungwa na Khedira, Hector mawili, Stefanelli na Volland PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment