Kiungo wa Hispania David Silva (kulia) akiushuhudia mpira alioupiga ukielekea nyavuni dakika ya 45 na usher kuipatia Manchester City bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 na wenyeji, Borussia Monchengladbach Uwanja wa Borussia-Park mjini Monchengladbach katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la wenyeji lilifungwa na Raffael dakika ya 23 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment