Ubao ukionyesha mabao 12 ya rekodi yaliyofungwa usiku wa jana katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya wenyeji Borussia Dortmund wakiifunga 8-4 Legia Warsaw ya Poland Uwanja wa Westfalen. Mabao ya Dortmund yalifungwa na Shinji Kagawa mawili dakika za 17 na 18, Nuri Sahin dakika ya 20, Ousmane Dembele dakika ya 29, Marco Reus dakika za 32, 52 na 92 na Felix Passlack dakika ya 81, wakati ya wageni yalifungwa na Aleksandar Prijovic mawili dakika ya 10 n 24, Michał Kucharczyk dakika ya 57 na Nemanja Nikolics dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment