• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 28, 2016

  WAKUU WAPYA WA IDARA YA UFUNDI YANGA WALIVYOANZA KAZI PAMOJA LEO

  Kocha mpya wa Yanga, Mzambia George Lwandamina (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu, Mholanzi Hans van der Pluijm leo asubuhi wakati wa mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
  Lwandamina (wa pili kulia) akizungumza na Wasaidizin wake, Meneja Hafidh Saleh kulia, Kocha Msaidizi, Juma Mwambusi na Mtunza Vifaa, Mohammed Omar 'Mpogolo'  
  Lwandamina aliongoza mazoezi ya Yanga kwa mara ya kwanza leo baada ya kujiunga na timu kutoka Zesco ya kwao mapema mwezi huu
  Wachezaji wa Yanga wameanza mazoezi leo baada ya mapumziko ya takriban wiki tatu kufuatia kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAKUU WAPYA WA IDARA YA UFUNDI YANGA WALIVYOANZA KAZI PAMOJA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top