Kocha Pep Guardiola akimpongeza shujaa wake, Sergio Aguero (kulia) baada ya kufunga mabao yote mawili ya Manchester City katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji Burnley leo Uwanja wa Turf Moor kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bal la wenyeji lilifungwa na Dean Marney PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment