• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 24, 2016

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA PSG EMIRATES

  Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kiungo wa PSG, Marco Verratti kujifungia kuipatia bao la pili Arsenal dakika ya 60 lililoelekea kuwa la ushindi kabla ya PSG kusawazisha na mchezo huo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Playa kumalizika kea are ya 2-2 Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45, wakati ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 18 na Alex Iwobi dakika ya 77 aliyejifunga pia. Kwa matokeo hayo, Arsenal na PSG zote zimesonga mbele kutoka kundi hilo  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA PSG EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top