• HABARI MPYA

    Wednesday, November 30, 2016

    KIPA MPYA WA SIMBA KUTOKA GHANA TAYARI YUPO MJINI

    Kipa Daniel Agyei kutoka klabu ya Medeama SC ya kwao, Ghana akionyesha dole gumba kuashiria 'mambo safi' baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kwa ajili ya mipango ya kujiunga na klabu ya Simba ya Tanzania. 
    Daniel Agyei baada ya kuwasili Dar es Salaam leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIPA MPYA WA SIMBA KUTOKA GHANA TAYARI YUPO MJINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top