• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 24, 2016

  SAMATTA ALIVYO 'TAYARI TAYARI' KWA KAZI EUROPA LEAGUE LEO

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiruka kwa furaha wakati wa mazoezi ya mwisho ya klabu yake, KRC Genk kujiandaa na mchezo wa Kundi F Europa League usiku wa leo Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk 
  Samatta akiwaongoza wenzake kwa uchangamfu 
  Samatta anaonekana yuko vizuri kuelekea kwenye mchezo huo 
   Genk inahitaji ushindi leo ili kujihakikishia kwenda hatua ya mtoano 
  Samatta anatarajiwa kuanza leo katika kikosi cha kwanza cha Genk
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYO 'TAYARI TAYARI' KWA KAZI EUROPA LEAGUE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top