Antoine Griezmann akipongezwa baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid katika ushindi wa 2-0 dhidi ya PSV Eindhoven kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Vicente Calderon mini Madrid haiku wa jana. Bao lingine la Atletico ambayo inaungana na Bayern Munich kusonga mbele kutoka kundi hilo lilifungwa na Kevin Gameiro PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment