POGBA, PAYET WAFUNGA UFARANSA IKIICHINJA 2-1 SWEDEN
Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akinyoosha kidole juu kushangilia baada ya kuifungia Ufaransa bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sweden kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao lingine la Ufaransa lilifungwa na Dimitri Payet, wakati la Sweden lilifungwa na Emil ForsbergPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment