• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 25, 2016

  ROONEY AWEKA REKODI MAN UNITED IKIPIGA MTU 4-0 ULAYA

  Mshambuliaji wa Manchestr United, Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 35 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Feyenoord ya Uholanzi usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Kundi A na kuweka rekodi ya mchezaji aliyewafungia mabao mengi kihistoria Mashetani Wekundu kwenye michuano ya Ulaya kwa kufikisha mabao 39. Mabao mengine ya United yalifungwa na Juan Mata dakika ya 69, Brad Jones aliyejifunga dakika ya 75 na Lingard dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROONEY AWEKA REKODI MAN UNITED IKIPIGA MTU 4-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top