• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 29, 2016

  NAPE ALIPOMPOKELEA ZAWADI RAIS MAGUFULI JANA

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea zawadi ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli jana ofisini kwake mjini Dar es Salaam kutoka Mwenyekiti wa kikundi cha sanaa cha Angavu, Athumani Juma Salum (kushoto). Mwingine anayeshuhudia kushoto ni Katibu wa kikundi hicho, Oliver Charles
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAPE ALIPOMPOKELEA ZAWADI RAIS MAGUFULI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top