Wachezaji wa Monaco wakishangilia baada ya kuifunga Tottenham Hotspur mahal 2-1 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana nchini Ufaransa. Mabao ya Monaco yalifungwa na Djibril Sidibe dakika ya 48 na Thomas Lemar dakota ya 53, wakati la Spurs lilifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 52. Kwa matoneo haya Spurs inakuwa time ya kwanza ya England kutolewa Ligi ya Mabingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment