Julitha Kabethe, Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Miss Afrika, linalotarajiwa kufanyika kesho mjini Calabar, Cross River, Nigeria akiwa kwenye bwawa la kuogelea mjini Calabar jana wakati wa usaili wa mwisho kabla ya shindano
Julitha Kabethe akiwa na vazi la Kimasai, kabila maarufu nchini Tanzania
Julitha Kabethe yuko tayari kuchuana na vimwana wengine 17 barani kuwania taji la Miss Afrika kesho
Who will win title? The big prediction special
-
Will it be Manchester City or Arsenal for the Premier League title? BBC
Sport gets pundits, reporters and fans to predict each of their remaining
fixtures ...
0 comments:
Post a Comment